Gadner afariki dunia, wasanii wamlilia MTANGAZAJI maarufu wa kituo cha Clouds FM, Gadner G. Habash amefariki dunia leo saa 11:00 asubuhi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa...
Saa 4 kabla ya mechi, Kwa Mkapa jua kaliii Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa.