Nahodha Timu ya Taifa Ngumi aiomba serikali kuongeza nguvu

Muktasari:

  • "Tukiajiandaa kwa kucheza na mabondia wa hapa ndani ya nchi hatutakuwa vizuri zaidi Kama tukicheza na wanaotoka nje,  kwani wa hapa ndani tunajuana wote, "alisema Kidunda.

Nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi Selemani Kidunda alisema wanaomba nguvu kutoka serikalini ila kabla ya mashindano wapate sehemu sahihi ya kuweka kambi.

"Tukiajiandaa kwa kucheza na mabondia wa hapa ndani ya nchi hatutakuwa vizuri zaidi Kama tukicheza na wanaotoka nje,  kwani wa hapa ndani tunajuana wote, "alisema Kidunda.

Timu hiyo inajiandaa na mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Aprili mwakani.