Manara, Zaiylissa mahaba kama yote ZILE habari za kwenye mitandao ya kijamii zilizokuwa zikidai kuwa Haji Manara na mke wake muigizaji Zaiylissa ndoa yao imevunjika basi jua kwao ndio kwanza mahaba kama yote.
Mwamuzi wa Dabi huyu hapa! PRESHA ya mchezo wa 'Kariakoo Derby' kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati zikibakia siku mbili tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi...