Cannavaro azitabiria Yanga, Simba nusu fainali NAHODHA wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amezitabiria Simba na Yanga katika mechi zao za robo fainali zinazochezwa leo na kesho akisema zina nafasi ya kutinga nusu fainali za Ligi ya...