Haya ndo mambo Donaldo Ngoma

Muktasari:

Anatumia simu aina ya I Phone 6 pamoja na Samsung gallaxy S3.

Anapenda kucheza mpira akiwa amevaa viatu vya Kampuni ya Nike namba 10.

Anatumia simu aina ya I Phone 6 pamoja na Samsung gallaxy S3.

Anapenda kutembelea gari aina ya Toyota Ran X na ndiyo anayomiliki hata kwao Zimbabwe.

Anaye mke anayempenda sana anaitwa Grace na mtoto mmoja wa kiume anaitwa Mc Donald.

Ni shabiki wa klabu ya Man City na anavutiwa na soka la straika wa klabu hiyo, Muargentina Sergio Aguero.