Gamondi: Kwa Uwanja ule unashindaje? BAADA ya kupata sare isiyo na mabao dhidi ya JKT Tanzania, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameshangaa maamuzi ya kulazimisha mchezo huo wa Lifi Kuu ara kuchezwa kwenye Uwanja uliokosa...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers