Arsenal 5, Chelsea 0; Washika Bunduki wafumua Darajani LONDON, ENGLAND. ARSENAL imelikataa gundu la Aprili baada ya usiku wa jana Jumanne kushusha kipigo kizito kwa Chelsea na kuweka hai matumaini yao ya kunyakua taji la Ligi Kuu England msimu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers