Mastaa Bongo waiteka shoo ya dabi MCHEZO wa 112 wa Watani wa Jadi, Yanga na Simba utachezwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam na umeteka hisia za mashabiki kila kona nchini hadi tasnia ya burudani.
10 za Kariakoo Dabi si mchezo! JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara wakiikaribisha Simba. Hii ni Kariakoo Dabi ya 112 ndani...