Aussems awatuliza mashabiki Simba

Muktasari:

  • Hii ni baada ya kombinesheni ya kuwachezesha mastraika watatu, John Bocco 'Adebayor', Mnyarwanda Meddie Kagere na Emmanuel Okwi raia wa Uganda kwa pamoja katika mechi hiyo na Ndanda kukosa mabao.

Hii ni baada ya kombinesheni ya kuwachezesha mastraika watatu, John Bocco 'Adebayor', Mnyarwanda Meddie Kagere na Emmanuel Okwi raia wa Uganda kwa pamoja katika mechi hiyo na Ndanda kukosa

mabao.

mewaambia mashabiki  wa kikosi hicho wasahau kilichotokea Mtwara na watafurahi  tu katika mechi zijazo.

Aussems ambaye baada ya kikosi chake kulazimishwa suluhu na Ndanda FC mkoani Mtwara, ameandaa mbinu matata kwa mastraika wake ili kuona wanapata mabao katika michezo hiyo.

Hii ni baada ya kombinesheni ya kuwachezesha mastraika watatu, John Bocco 'Adebayor', Mnyarwanda Meddie Kagere na Emmanuel Okwi raia wa Uganda kwa pamoja katika mechi hiyo na Ndanda kukosa

mabao.

Amesema, anakwenda kuiboresha kwa mara nyingine na ikishindikana, atatumia mastraika wawili. "Inawezekana kitendo cha kucheza matraika watatu kwa wakati mmoja  hawajaelewana lakini nalifanyia kazi katika kipindi cha maandalizi ya mechi ijayo na ikishindikana nitatumia nyingine,"alisema Aussems.