IMBA NA MWANASPOTI: Unaifahamu mistari ya wimbo wa 'Ninogeshe'? Cheki hapa


Msanii: Nandy


Emma the boy on the beat
Aai ni wewe ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie
Oh baby wee
 
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
 
Aaah kwachukwachu kushea na watu sitaaki
Ooh baby
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki
Siwezi!
 
Basi ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
 
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu
 
Unanipaga furaha hivi
Ukiniacha utanipa jaka la roho
Nipe mimi kwingine we useme no
Shinde ibilisi kwenye kichwa chako ooohoo
 
Mi mwenzako mkiwa baba
Mkiwa wa wapenzi baba
Usinione nalia sana
Nalilia mapenzi
 
Chochote utachoniambia (sawa)
Mimi nitaridhia baba
Hata ukiwa mbali nitasubiria
 
Ah basi ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
 
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu
 
Tusiwe tysoni naivanda kisa kosa
(Kupendana na wewe)
Presha kupanda kushuka kisa nini?
(Kupendana na wewe)
Mi mwenzako nakupenda nafurahi
(Kupendana na wewe)
Nivike pete ya roho isiyotoka, mmmh!
 
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu

NB:Umeombwa na Aika Kimario wa Sombetini umuendee Mike John wa Hai, pia ni ombi maalum la Anitha kwa mpenzi wake, Me Hende.