Simba, Azam zajitosa Kombe la Muungano, Yanga yachomoa!
KLABU za Simba na Azam FC zimethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayoenda sambamba na Miaka 60 ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazoadhimishwa Aprili 26, huku...