Manara, Zaiylissa mahaba kama yote ZILE habari za kwenye mitandao ya kijamii zilizokuwa zikidai kuwa Haji Manara na mke wake muigizaji Zaiylissa ndoa yao imevunjika basi jua kwao ndio kwanza mahaba kama yote.
Ebu sikia haya wanayofanya kina Fei Toto kambini! "Sopu ni mkimya na mtu wa ibada sana, ndiye sheikh wa Azam. Mara nyingi ndiye anayewaswalisha waumini wenzake wa Kiislamu Azam."