Sep 5, 2010, 11:48 am TFF UEFA FIFA Yahoo Sport CAF Staff Mail Premier League English News Spoti Majuu
 
 
 
 
 
 
 
 

 

Imewekwa:: 2010-05-29 12:17:00
Rooney ampiku Ronaldo nje ya uwanja
WAYNE Rooney
LONDON, ENGLAND
WAYNE Rooney ametoa onyo kwa Cristiano Ronaldo kuwa 'atamfunika' katika Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao kwa kuwa dalili zimeonekana mapema.

Wachezaji hao walitumia muda saa kadhaa kucheza 'gemu' katika kompyuta ambapo Rooney alimshinda mpinzani wake.
Rooney mwenye miaka 24 anaamini atampiku Cristiano mwenye miaka 25 katika fainali hizo kwa kuwa nuru njema imeanza kuonekana.

Ingawa Wayne na mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United wapo katika timu tofauti wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara na wamekuwa akicheza gemu za video katika mtandao.
Mtu mmoja kutoka Manchester United alisema: "Wayne anaweza sana kucheza 'video game' kama anavyokuwa uwanjani Old Trafford.

"Huwa anafanya vema bila kujali anaangaliwa na watu 80,000 au yupo peke yake chumbani."
Toa Maoni Chapisha(Print) Facebook Tuma kwa rafiki
Habari Zingine
Wabongo wamrudisha Mariga Dar
Rage aidai Mwanaspoti Sh. bilioni moja
Jabulani kumi zaisisimua Simba
Kipa Yanga aingilia anga za Kaseja
Mafowadi 11 watibuana Mtibwa Sugar
Taswa wajadiliana na Mkurugenzi wa Michezo
Mafisango aguna, aipa tano Azam
Mwingereza aanza kazi Zanzibar
Simba yaipeleka Yanga Kirumba
Poulsen ampiga tafu Phiri Simba
 
 
 
 
 
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=4135