Sep 5, 2010, 11:52 am
TFF
UEFA
FIFA
Yahoo Sport
CAF
Staff Mail
Premier League
English News
Spoti Majuu
Imewekwa::
2010-05-22 14:04:00
Arsenal
MSHAMBULIAJI Robin Van Persie ameahidi kufanya mambo makubwa msimu ujao akiendelea kuchezeshwa kama mshambuliaji.
Mholanzi huyo alirejea uwanjani kwenye mechi za mwisho za ligi baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu.
Van Persie ana kipaji kikubwa cha ufungaji lakini tatizo amekuwa akiumia mara kwa mara.
Amesema anapenda kucheza mshambuliaji wa kati na anahusudu zaidi anapopangwa na winga Theo Walcott.
"Huwa napenda nikipata mpira nimtafute Theo, ambaye ana mbio na huwasumbua sana mabeki," ameongeza Van Persie.
Toa Maoni
Chapisha(Print)
Facebook
Tuma kwa rafiki
Habari Zingine
Wabongo wamrudisha Mariga Dar
Rage aidai Mwanaspoti Sh. bilioni moja
Jabulani kumi zaisisimua Simba
Kipa Yanga aingilia anga za Kaseja
Mafowadi 11 watibuana Mtibwa Sugar
Taswa wajadiliana na Mkurugenzi wa Michezo
Mafisango aguna, aipa tano Azam
Mwingereza aanza kazi Zanzibar
Simba yaipeleka Yanga Kirumba
Poulsen ampiga tafu Phiri Simba
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=4084