Sep 9, 2010, 9:22 am
TFF
UEFA
FIFA
Yahoo Sport
CAF
Staff Mail
Premier League
English News
Spoti Majuu
Imewekwa::
2010-03-05 17:04:00
Young Joc na wake wawili
Young
LOS, ANGELES, MAREKANI
KATIKA hali ya kushangaza, mwanamuziki wa miondoko ya hip hop, Young Joc ameamua kumtambulisha mpenzi wake kwa mkewe.
Imefahamika kwamba Young Joc, ambaye ameoa amekuwa na mapenzi ya siri Tamika kwa muda mrefu.
Na baada ya siri hiyo, sasa wameibuka hadharani tena mbele ya mke wa Young Joc. Tamika wamekubali kuishi nyumba moja na mke wa Joc.
Lakini baadhi ya marafiki wa Tamika wamemshangaa mwenzao na wamemtaka 'alale huku jicho moja likiwa wazi'.
Toa Maoni
Chapisha(Print)
Facebook
Tuma kwa rafiki
Habari Zingine
Phiri hana shida, Mgosi, Kanoni waibukia Tanga
Mkenya aipa Simba mambo mawili
Henry arudi Norway majeruhi
Kiungo Yanga mambo mazuri
Mafisango atunisha msuli,aigunia Simba Tanga
Humoud azua tafrani Simba
Wabongo wamrudisha Mariga Dar
Rage aidai Mwanaspoti Sh. bilioni moja
Jabulani kumi zaisisimua Simba
Kipa Yanga aingilia anga za Kaseja
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=3609