Sep 9, 2010, 9:21 am TFF UEFA FIFA Yahoo Sport CAF Staff Mail Premier League English News Spoti Majuu
 
 
 
 
 
 
 
 

 

Imewekwa:: 2010-03-05 16:43:00
Rihanna hamtishi Katy Perry
Katy
LOS VEGUS, MAREKANI

MWANAMUZIKI Katy Parry amesema licha ya kuwa kuna upinzani katika muziki, amejitofautisha na wenzake.

"Nadhani nina staili yangu ya uimbaji na ndio maana nina wapenzi wangu," alisema mwanamuziki huyo.

"Nafahamu kwamba kuna wanamuziki kama GaGa, Keisha na Rihanna, ambaye amekamata mashabiki wengi, lakini sina hofu na hilo.

"Lakini pia kuna mwanamuziki mwingine Alanis Morissette, yupo juu na anatikisa," alisema.

"Napenda ushindani, hicho ndicho kitu kinachomkuza mwanamuziki zaidi," aliongeza.

Na mwanamuziki huyo alikiri kuwa kwa sasa anaweza kuishi na mwanaume yeyote kwa kuwa amepevuka vema.

"Mimi ni mtu mzima, ninaweza kuishi na mtu yeyote, vilevile suala la kutunga nyimbo limenisaidia kufahamu mambo mengi ya mapenzi."
Toa Maoni Chapisha(Print) Facebook Tuma kwa rafiki
Habari Zingine
Phiri hana shida, Mgosi, Kanoni waibukia Tanga
Mkenya aipa Simba mambo mawili
Henry arudi Norway majeruhi
Kiungo Yanga mambo mazuri
Mafisango atunisha msuli,aigunia Simba Tanga
Humoud azua tafrani Simba
Wabongo wamrudisha Mariga Dar
Rage aidai Mwanaspoti Sh. bilioni moja
Jabulani kumi zaisisimua Simba
Kipa Yanga aingilia anga za Kaseja
 
 
 
 
 
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=3605