Sep 9, 2010, 9:08 am
TFF
UEFA
FIFA
Yahoo Sport
CAF
Staff Mail
Premier League
English News
Spoti Majuu
Imewekwa::
2010-02-01 19:21:00
Mutu atetewa
MILAN, Italia
KOCHA wa Fiorentina, Andrea della Valle amesema klabu yeke imeshitushwa na taarifa kuwa Adrian Mutu amekuwa akitumia dawa za kuongeza nguvu.
Mchezaji huyo wa Romania alifanyiwa uchunguzi na kukutwa na skendo hiyo baada ya mechi dhidi ya Bari, Januari 10.
Kulikuwa na tetesi kuwa Mutu alikuwa akitumia dawa hizo katika mapumziko ya Krismasi na taarifa hizo zilionekana kuwa sahihi baada ya kupimwa.
Lakini Della alisema: "Ni habari mbaya zilizotushitua lakini Mutu hakuwa akitumia dawa za kuongeza nguvu bali alitumia dawa za kupunguza mwili."
Toa Maoni
Chapisha(Print)
Facebook
Tuma kwa rafiki
Habari Zingine
Phiri hana shida, Mgosi, Kanoni waibukia Tanga
Mkenya aipa Simba mambo mawili
Henry arudi Norway majeruhi
Kiungo Yanga mambo mazuri
Mafisango atunisha msuli,aigunia Simba Tanga
Humoud azua tafrani Simba
Wabongo wamrudisha Mariga Dar
Rage aidai Mwanaspoti Sh. bilioni moja
Jabulani kumi zaisisimua Simba
Kipa Yanga aingilia anga za Kaseja
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007http://www.mwanaspoti.co.tz/readnewzt_sp.php?id=3484