Man City yaanza kutafuta mbadala wa Pep MANCHESTER, ENGLAND. MABOSI wa Manchester City wameanza kujiandaa na maisha bila ya kocha Pep Guardiola ambapo kwa kutafuta mbadala wake. Mkataba wa sasa wa Guardiola unamalizika mwaka 2025 na...