Sep 5, 2010, 3:50 am TFF UEFA FIFA Yahoo Sport CAF Staff Mail Premier League English News Spoti Majuu
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 

Maoni ya wasomaji
Tarehe yaliyowekwa 2010-07-15 02:16:52
Jina la mwekaji Salehe
Kicha cha maoni yake Kikosi Kipya simba
Maoni yenyewe Tumeshakisikia kikosi cha Azam na Yanga na sasa tunatega masikio kukisikia kikosi cha mnyama mla watu
Nchi aliopo Tanga
Barua Pepe: saltga@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-07-07 05:53:48
Jina la mwekaji Jabu
Kicha cha maoni yake LLete Habari Mpya
Maoni yenyewe Jamani hebu ziondosheni hizi habari kwani zimeshapitwa na wakati na zimeshakuwa karaha tunataka habari mpya tunazoziona kwengineko.
Nchi aliopo Mwanza
Barua Pepe: jabu_30@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-26 03:21:26
Jina la mwekaji YONA FARES MARO
Kicha cha maoni yake KWA HABARI NA MAONI
Maoni yenyewe KWA HABARI NA MAONI YA MASUALA MBALIMBALI TEMBELEA WWW.WANABIDII.NET NA UJIUNGE UWEZE KUSHIRIKI MIJADALA
Nchi aliopo TANZANIA
Barua Pepe: OLDMOSHI@GMAIL.COM
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-20 20:40:59
Jina la mwekaji Sheweji
Kicha cha maoni yake Habari hizi ni za zamani
Maoni yenyewe Jamani tunakuombeni hizi habari zilizomo katika gazeti ili ni za zazamani na zHabari Hiziinachafuwa roho. Wakati huu tuliokuwa nao kuna mambo mengi na muhimu yanayotokea nchini kwetu hasa zile zinazohusu uasajili wa wachezaji wapya na kutemwa baadhi ya wengine jambo ambalo wengi sana tuna hamu kuyajuwa
Nchi aliopo arusha
Barua Pepe: kitimtim06@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-06 23:37:33
Jina la mwekaji issa mshana
Kicha cha maoni yake habari ya michezo
Maoni yenyewe mbona gazeti hili halitupi habari za mwezi jana tu ? mpaka sasa linaonesha tarehe 24/05/2010 na wakati leo ni tarehe 7/05/2010
Nchi aliopo Tanzania
Barua Pepe: issa792009@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-04 23:57:09
Jina la mwekaji issa mshana
Kicha cha maoni yake habari ya michezo
Maoni yenyewe kwa mtoa gazetu la mwanaspoti hili gazetu lenu ni zuri lakini mpaka sasa gazeti hili halitupi matukio ya kila siku ya kichezo kwani mpaka sasa gazeti hili linaonyesha habari za tarehe 24/05/2010 na sasa leo ni tarehe 05/06/2010 jaribu kuliweka katika hali ya kupata habari mpya kila siku.
Nchi aliopo Tanzania
Barua Pepe: issa792009@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-02 07:14:40
Jina la mwekaji SAVULA LISANGA
Kicha cha maoni yake STARS:KUPANGA NI KUCHAGUA
Maoni yenyewe stars amueni moja ama Brazil au CHAN hivyo chezeni kufa na pona dhidi ya Rwanda huku ikiwezekana kupata majerui na kushindwa kuwakabili Brazil au chezeni kizembe na Rwanda ili muuze sura mbele ya Brazil. Kama ni wazalendo kweli basi mtashinda Rwanda na yeyote ambaye atakuwa fiti atacheza dhidi ya Brazil. CHAN ni bora kuliko mechi yoyote ya kirafiki hata kama ni kucheza na timu kutoka mbinguni. Pangeni na mchague.
Nchi aliopo TZ
Barua Pepe: savulisa@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-01 07:21:03
Jina la mwekaji SAVULA LISANGA
Kicha cha maoni yake TFF NA UBEPARI
Maoni yenyewe Inasikitisha sana kuona TFF ikipanga viingilio vikubwa kwenye mechi zinazochezwa hapa nchini kiasi cha kuwakatili watanzania wa kawaida kushindwa kuingia uwanjani kuangalia mechi. Viingilio vilivyopangwa kwa ajili ya mechi ya Tanzania na Brazili ni vya kibepari TFF waache kujali matumbo yao na kuwasahau watanzania maskini
Nchi aliopo TZ
Barua Pepe: savulisa@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-06-01 02:37:31
Jina la mwekaji Haji Hassan Haji
Kicha cha maoni yake TAIFA STARS NA KOMBE LA DUNIA
Maoni yenyewe Ujaji wa timu ya taifa ya Brazil hapa Tanzania kucheza na wenyeji (taifa stars) italeta changamoto kubwa kwa timu yetu ya taifa kupata mwangaza wa kushiriki kombe la dunia miaka ya mbele. Hivyo nawaomba wachezaji wa taifa stars wakaze buti kuichapa Brazil ili ijulikanwe zaidi kisoka ulimwenguni kwa kuwachapa mabingwa hao mara tano wa kombe la dunia.
Nchi aliopo Zanzibar
Barua Pepe: Loverthaji_blues1@mig33.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-05-20 07:38:37
Jina la mwekaji Kelvin William
Kicha cha maoni yake Mwanasporti juuuuuuu
Maoni yenyewe Eeebwana sina la kusema ila nawapongeza kwa kazi yenu nzuri
Nchi aliopo Tanzania
Barua Pepe: klvnwilliam@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------

 
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2007