Mar 10, 2010, 6:37 am TFF UEFA FIFA Yahoo Sport CAF Staff Mail Premier League English News Spoti Majuu
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 

Maoni ya wasomaji
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-13 09:56:06
Jina la mwekaji Hamis Kilunge
Kicha cha maoni yake Wekeni habari za Angola
Maoni yenyewe Mwanaspoti mkoje nyie?, mbona habari za angola hamuweki hii site yenu vipi? mnatuboa sana sisi wasomaji....
Nchi aliopo Norway
Barua Pepe: hkilunge@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-02-03 02:39:15
Jina la mwekaji sware
Kicha cha maoni yake wekelea
Maoni yenyewe mnajitahidi sana wadau,wekelea picha mob zaidi.
Nchi aliopo mombasa
Barua Pepe: rerer@gmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-29 00:22:43
Jina la mwekaji Saleh H. Vuai
Kicha cha maoni yake WARABU WA PEMBA W....
Maoni yenyewe "WARABU WA PEMBA HUJUANA KWA VILEMBA" huu ni msemo uliozoeleka ndani ya z,bar na ndicho kilicho watokea vigogo wa soka Algeria dhidi ya mafarao wa Misri kwa hiyo na sisi t.z tuige mfano huu tunapokutana na nchi za A.Mashariki kwani mpira ni TECHNICK kama walivyofanya Algeria dhidi ya Ivory coast.
Nchi aliopo Zanzibar
Barua Pepe: Lovert2@mig33.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-29 17:00:40
Jina la mwekaji Gabriel Mathias
Kicha cha maoni yake Video za Lupopo Fc ni muhim zitafutwe
Maoni yenyewe Nawaomba Papic na msaidizi wake mmoja aende DRC ili akawaone Lupopo na alete mikanda hata mi3 tu ili wachezaji waione inavyocheza yaani viongozi wasipuuzie ktk hili na mwanaspoti mlifuatilie ili mtu habarishe ni hayo tu mhariri ni mimi GM wa Moshi sec yanga moja
Nchi aliopo Moshi,Tz
Barua Pepe: Gab@yahoo.com au0789110358
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-03-10 02:50:38
Jina la mwekaji Haji Hassan Haji
Kicha cha maoni yake Twiga Star hongereni na ushindi lakini jitihada zi
Maoni yenyewe Naipongeza timu ya wanawake ya Tanzania (Twiga Star) kwa kuichapa 3-1 Ethiopia huko Addis Ababa. Licha ya kupata ushindi mzuri ugenini dhidi ya Ethiopia katika kuwania kombe la mataifa ya Afrika ngazi ya kinadada itahitaji kufanya mazoezi makali kwa lengo la kusonga mbele katika michuano hii. Kweli Twiga Star mumeshinda lakini msibweteke mukajiona mumepenya kwani wapinzani wenu (Ethiopia) wanajifua vizuri kujalipiza kisasi hukuhuku Tanzania.
Nchi aliopo Zanzibar
Barua Pepe: Loverthaji1@hotmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-16 09:31:20
Jina la mwekaji hussein ssenyange
Kicha cha maoni yake Tupeni ukweli kuhusu mr.blue
Maoni yenyewe Ndg mhariri. Tunaomba utupe ukweli kuhusu uvumi unao enea kuhusu msanii mr.blue
Nchi aliopo saudi arabia
Barua Pepe: husseinhaffanissenyange@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-02-07 03:33:01
Jina la mwekaji nakuchema
Kicha cha maoni yake tujirekebishe
Maoni yenyewe kwanini athman idd na kaseja hawapo kwenye national team? acheni majungu bongo!!!
Nchi aliopo sudan
Barua Pepe: salimhaninu@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-11 04:52:40
Jina la mwekaji Futunatus mbire
Kicha cha maoni yake Togo
Maoni yenyewe Jamani mbona habari ya togo hamjaweka? alafu hata matokeo ya mechi hizo kubwa hamuweki tuwaeleweje ukurasa wa burudani upo vile vile why hamko serious.
Nchi aliopo Afrika kusini
Barua Pepe: futi@yahoo.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-03-10 02:14:54
Jina la mwekaji Haji Hassan Madogo
Kicha cha maoni yake Terry hana makosa, kuporwa unahodha England ameone
Maoni yenyewe Nahodha wa Chelsea na aliyekuwa nahodha wa England John Terry hakuwa na makosa yoyote kuhusu timu ya taifa England, kwani suala la mapenzi liko nje ya soka.
Nchi aliopo Zanzibar
Barua Pepe: Loverthaji1@hotmail.com
------------------------------------------------------------------------
Tarehe yaliyowekwa 2010-01-23 14:21:58
Jina la mwekaji Johny
Kicha cha maoni yake Simba 3 Prisons 1
Maoni yenyewe Simba 3 Prisons 1. Yanga msife moyo. Nyie kaeni nyuma muhesabu nyao za Simba ili mujuwe mnyama kafika wapi.
Nchi aliopo Ilala
Barua Pepe: johny55@gmail.com
------------------------------------------------------------------------

 
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2010:Started October 1,2008