Sababu Onana kupaka mafuta gloves, mbinu nyingine za mastaa uwanjani
Katika mchezo wa soka, wachezaji wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali za kuwafanya wafanye vizuri, wapo wanaochagua aina ya viatu vya kuchezea, wanaotoboa soksi na wanaopaka mafuta mwilini kwa...