Derby ya mashemeji kitaumana usiku Wakati homa ya mchezo wa dabi ya Mashemeji kati ya Gor Mahia FC na AFC Leopards ikizidi kupamba moto, Shirikisho la Soka nchini Kenya (FKF) tayari limeweka wazi kuwa mchezo huo utapigwa usiku.