PRIME Simba yafuata mrithi wa Saido Asec Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa mwisho.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers