Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye MajaniĀ Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
PRIME Dube kaingia anacheka, katoka amenuna TFF MSHAMBULIAJI wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo, Alhamisi na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji...