MCL Mwananchi TheCitizen Nation Monitor TheCitizen epaper Email  
Feb 23, 2012, 4:16 am Upo Nyumbani
ISSUE:: 1192 TOLEO LA:: Oct 11-14,2011
Tafuta Habari
 
Habari zilizowekwa hivi punde:: Yanga waivuruga Zamalek Misri
HABARI KUBWA
Yanga waivuruga Zamalek Misri
Soka nyingine:-
> Yanga, Zamalek zavuna 289milioni
> Jabu, Mwasika nje Taifa Stars
> Mwamuzi anusurika kupigwa
> Watakiwa kubadilisha katiba
> Kanakamfumu amshauri Papic
> Kiyovu: Simba ilibebwa sana
> Cannavaro: Sishuki kiwango ng'o
> Mafisango aapa kuimaliza Kiyovu
 
Ulaya hapatoshi
MABADILIKO makubwa ya FC Basel ni tishio kwa vigogo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na kesho Jumatano, kikosi hicho kitaanza kwa kipute dhidi ya Bayern Munich.
Dah! Dotnata kapasulia tumbo
DOTNATA wiki iliyopita alifanyiwa upasuaji mkubwa kutokana na matatizo ya tumbo yaliyokuwa yakimsumbua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya THI iliyopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mechi ya Stars, Congo yacheleweshwa
MECHI ya kirafiki baina ya timu ya soka ya taifa, Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, itapigwa keshokutwa Alhamisi kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Kaseja aipa nafasi Yanga
NAHODHA wa Simba, Juma Kaseja, amewataka wachezaji wenzake kujiamini zaidi ili waweze kushinda mechi ya marudiano dhidi ya Kiyovu ya Rwanda, huku pia akiwaambia Yanga wasiogope wanaweza kuitoa Zamalek.
Makala::Burudani
KWENYE shindano la kuwania tuzo za muziki wa Bongo mwaka huu, hakuna majina ya mastaa waliozoeleka kama Chid Benz, Banana Zorro, Mrisho Mpoto, Ray C, Marlaw, Matonya hata kundi la P-Unit la Kenya ambalo huwa linaingia karibu kila mwaka.
JUMA Nature amevunja ukimya na kurejea kwa kishindo kwenye muziki ambapo amesisitiza kuwa mwaka huu amepania kuachia kazi za nguvu pamoja na shoo zisizokwisha za Afrika Mashariki kufufua soko lake.
ALLY Choki amevunja ukimya na kutamka maneno ambayo baadhi ya wadau wa muziki wa dansi nchini hawatapenda kuyasikia.
Makala::Soka
KIPA Daudi Mwasongwe anaaminika atakuwa hazina kubwa ya taifa katika siku za usoni.
BEKI wa zamani wa Reli ya Morogoro, Habib Kondo Kikwaya, anaaminika kuwa ndiye kocha mdogo zaidi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.
BADO uhusiano wa mabao ya kiungo maarufu wa Arsenal, Aaron Ramsey na uhusiano wa vifo vya watu maarufu umeendelea kuleta utata kwa watu mbalimbali wanaofutilia kwa karibu anga za soka.
Habari za burudani
Kanumba: Jamani nendeni shule
MUIGIZAJI nyota na mtayarishaji mahiri wa filamu Swahiliwood, Steven Kanumba amewahimiza wasanii kujiunga na vyuo vya filamu vinavyoanzishwa nchini badala ya kukimbilia kuigiza moja kwa moja.
Zawadi aamua kusema ukweli
ZAWADI ameliambia Mwanaspoti kuwa sababu ya tasnia ya uigizaji kushuka ni vituo vya Televisheni kutojali na kuthamini maigizo hayo ambayo yeye anaona ilikuwa ni njia nzuri wasanii kupitia na kuingia katika filamu.
Vanita katoka bomba ile mbaya
MWIGIZAJI na mpambaji wa wasanii Swahiliwood, Vanita Omary amejikuta akiwa mwenye muonekano mpya na tofauti baada ya uzazi wa mtoto wake wa kike anayeitwa Precious ambaye kwa sasa ana miezi kadhaa.
Odama wala hataki shida mwenzenu
MWANADADA nguli katika tasnia ya filamu Swahiliwood, Jenifer Kyaka Odama ameingia katika kundi la akina dada wajasiriamali baada ya kuamua kufungua kampuni yake ya utengenezaji wa filamu kwa ajili ya utayarishaji wa filamu zake.
Chris Brown awatusi wanaomkejeli
USHINDI wa Tuzo ya Grammy alioupata wiki iliyopita umefanya jina la Chris Brown lipambe vyombo vya habari duniani kote, lakini wengi wakiupinga.
Mwanaspoti Motomoto
Tamasha lafutwa CCM Kirumba
Vinyoya wajifua
Gofu wanawake yahitaji 34 m
Mchujo wa nyama choma
Ikangaa ataka kuondoa ukame wa medali
Vodacom Ligi:5bora
Timu P Pts
Simba 17 37
Yanga 17 37
Azam FC 18 35
Mtibwa 19 31
Oljoro 19 27
Matokeo Mengine
Maoni ya Mhariri
Yanga wana nafasi, Simba wasibweteke
  WAWAKILISHI wetu Yanga na Simba walianza kwa sare katika michuano ya soka ya klabu barani Afrika.
Maoni ya wasomaji
WATANZANIA TUWE NA MOYO WA UVUMILIVU
WATANZANIA TUJIFUNZE KUTOKA KWA WAZAMBIA
Nawatakia kila la heri timu zetu za Simba na Yanga
tanzania mpira unashuka kila siku
Hali hii mpaka lini?
Tuma Maoni || Maoni zaidi
Busara za wakereketwa wa michezo
Vikosi, mambo muhimu ya ushindi wa mabao 3-0
Tusiwafanye waamuzi punching bag
AFCON hii tuliyoiona mwaka 2012 mhh!
Ngoja niisikilize nyimbo hii ya Zambia
Hadithi na Mahaba
Huu ndiyo umuhimu wa kuoa/kuolewa
Tabia ya Kununa ovyo huharibu mapenzi
Ukipewa ofa, subiri kuilipa, hakuna cha bure duniani (2)
Ukipewa ofa, subiri kuilipa, hakuna cha bure duniani
Habari za Kenya
FKF: Tuambieni uwezo wenu wa kifedha
SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF), limezitaka klabu zote zitakazocheza Ligi Daraja la Kwanza ngazi ya Taifa, kutangaza hali zao za kifedha kabla ya ligi hiyo kuanza wikendi ijayo.
Wanga na wenzake waruhusiwa
WANASOKA waliokuwa wamezuiwa kucheza mechi za Ligi Kuu Kenya (KPL) kutokana na kukosa Hati za Uhamisho wa Kimataifa (ITC), sasa wamekubaliwa kucheza.
Wachezaji hao ni pamoja na mshambuliaji matata, Allan Wanga na wengine sita.
Vijana 100 wapita mchujo Pwani
WANASOKA chipukizi 100 wa umri chini ya miaka 17 wameteuliwa kuingia raundi ya pili ya kugombea uteuzi wa timu ya mseto ya Pwani itakayofanya ziara nchini Italia na Marekani Julai mwaka huu.
Nyamweya afagiliwa kwa utendaji
MWENYEKITI wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF), Sam Nyamweya, amepongezwa kwa juhudi kubwa anazotekeleza za kuinua na kuimarisha hali ya soka kuanzia mashinani hadi ngazi ya taifa.
Beki Starlets aapa kufia uwanjani
TERRY Ouko, sentahafu wa timu ya taifa ya wasichana wa umri chini ya miaka 20, Harambee Starlets, amesema wako tayari kufia uwanjani ili kupata ushindi dhidi ya Zambia kwenye mechi ya marudiano ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia itakayochezwa jijini Nairobi wiki mbili zijazo.
© Mwananchi Communications Ltd:2007-2012:Started October 1,2007