| Coastal Kings wanyukwa 1-0 |
TIMU ya vijana wasiozidi miaka 12 ya Mikadini Youth iliwakata kilimilimi majirani zao wa Coastal Kings kwa kuwafunga bao 1-0 kwenye mechi ya kujipima nguvu iliyofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Bomu.
Bao hilo pekee lilifungwa na Seif Salim. |
| Ivo Mapunda alamba Sh3.7 milioni za usajili |
|
MTANZANIA aliyekuwa anaidakia Bandari FC, Ivo Mapunda ni miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi hiki cha usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Kenya msimu huu. |
| Paco achekelea kutua Rwanda |
|
BEKI matata wa AFC Leopards, Jonas Nahimana Paco, amejiunga na kikosi cha timu ya Rwanda kitakachojipima nguvu na Congo Brazaville, leo Jumamosi. |
| AFC Leopards yanoa majeshi yake Mumias |
|
AFC Leopards imepiga kambi yake mjini Mumias katika Kaunti ya Kakamega, ikijiandaa kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya KPL. |
| Gor yajaribu makucha kwa El Mereikh |
|
MAGWIJI wa soka nchini, Gor Mahia, wanaohaha kurejesha ubabe wao, leo Jumamosi wana kibarua cha kujaribu makucha watakayoyatumia katika mashindano ya Afrika kwa kuvaana na El Mereikh ya Sudan. |
| Kenya inavyojipanga kuitoa Nigeria fainali za wasichana |
|
TIMU ya taifa ya soka ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17, Jumamosi ijayo itakuwa na kibarua kigumu cha kuishinda Nigeria kwenye mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia. |
| Bosi wa Congo atua Admiral |
|
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Ufundi wa Congo United FC, Aref Baghazally ametangaza rasmi kujiunga kwake na klabu ya Admiral FC, akiwa meneja wa timu. |
| Congo yasaka wachezaji mahiri |
|
CONGO United FC iliyopata wafadhili itaanza mazoezi ya kutafuta wanasoka wenye vipaji ambao wataiwakilisha timu hiyo kwenye Ligi ya Taifa Daraja la Kwanza msimu huu. |
| Kipa asiyekatishwa tamaa na balaa la mwaka jana |
|
NI kawaida katika maisha kwa kila mmoja kuwa na ndoto ya mafanikio fulani katika maisha yake. Kuna ambao ndoto zetu hutimia huku wengine zikiota mbawa. |
| Anayesisimua mashabiki kwa nyimbo, umbo |
|
SIZE 8 ni jina linalowasisimua mashabiki wengi wa muziki wa kizazi kipya nchini. |