Kwa Mkapa mtapigwa hivi! MAKOCHA wa Simba na Yanga, Abdelhak Benchikha na Miguel Gamondi ndio waliobeba matumaini ya mashabiki na wadau wa soka la Tanzania katika mechi za robo fainali za kwanza za Ligi ya Mabingwa...