Ten Hag kuonja machungu KWA mujibu wa ripoti kutoka ESPN, kocha wa Manchester United Erik Ten Hag atapoteza asilimia 25 ya mshahara wake ikiwa ataendelea kuifundisha timu hiyo kwa msimu ujao.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers