Kipa Ihefu akubali yaishe, amsikilizia Maxime ALIYEKUWA kipa namba moja wa Ihefu FC, Fikirini Bakari amekubali upinzani alioupata dhidi ya mwenzake kikosini, Khomein Aboubakari aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Geita Gold akisema analazimika...