Nidhamu yaibeba JKT mbele ya Yanga jeshini NIDHAMU nzuri ya kujilinda kwa vijana wa Malale Hamsini, JKT Tanzania ni miongoni mwa mambo ambayo yaliifanya Yanga kuwa na wakati mgumu kuifungua ngome ya maafande hao katika mchezo wa Ligi Kuu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers