Neymar mwanasoka mwenye ushawishi zaidi duniani

Muktasari:

Neymar ni mwanasoka pekee katika orodha hiyo iliyotolewa na jarida ka Time's wengine ni Conor McGregor, Tom Brady, Lebron James, na Simone Biles.

Pamoja na kuwa na umri wa miaka 25 tu, Neymar ametajwa kwenye orodha ya wanamichezo sita wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka huu.

Neymar ni mwanasoka pekee katika orodha hiyo iliyotolewa na jarida ka Time's wengine ni Conor McGregor, Tom Brady, Lebron James, na Simone Biles.

Mbrazili huyo amekuwa na ushawishi mkubwa kutokana na mambo yake anayofanya nje ya Uwanja na ndani ya Uwanja.