AKILI ZA KIJIWENI: Tabora ishini kipato chenu MIONGONI mwa kanuni kuu za maisha ambazo zinaweza kumfanya mtu aepuke mengi ni mwanadamu kuishi kulingana na kipato chake.