Dabi hii kumfuta chozi Kiba ama Mondi MWIMBAJI wa Bongo Fleva kutoka Kings Music, Alikiba wikiendi hii ana kibarua cha kujiuliza kama Dabi ya Kariakoo itamfuta machozi kama ilivyofanya kwa mshindani wake kimuziki Diamond...
Jumamosi yaibeba Yanga Kariakoo Dabi MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii ya Aprili 20...