Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
PRIME Simba yafuata mrithi wa Saido Asec Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa mwisho.