Mkimleta kaseja naondoka

Thursday November 20 2014

“Kama wanaona nimeshindwa kuisaidia timu ni

“Kama wanaona nimeshindwa kuisaidia timu ni bora tukaachana salama tu, mkataba wangu umebaki miezi sita tu, bado kuna timu kibao zinanihitaji hivyo ni vyema tukamalizana mimi niende sehemu nyingine, siwezi kubali soka langu liishe mapema kiasi hicho.”