Kilichomuua aliyefia uwanjani chatajwa JUZI vilio na simanzi vilitawala katika kijiji cha Shiwinga wilayani Mbozi mkoani Songwe wakati wa mazishi ya mchezaji yaliyofanyika jana, Belle Mgala aliyefia uwanjani, huku chanzo...