Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
PRIME Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba...