Jangwani kumekucha, Wazee, Mashabiki wakolleza mzuka 'Kariakoo Derby'
KATIKA Makao Makuu ya Klabu ya Yanga SC, unaweza kusema hakuna kulala kwani mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wameendelea kufanya amsha-amsha kama hamasa ya kuelekea Kariakoo Dabi...