Jeuri ya pesa! Mamelodi yatanguliza mastaa saba kwa Jet binafsi Kundi la kwanza la msafara wa Mamelodi Sundowns limewasili nchini ambapo mastaa wake saba wametua kwa ndege maalum aina ya Jet.