Imefichuka, Xavi abadili uamuzi Liverpool IMEFICHUKA. Kocha wa Barcelona, Xavi anadaiwa kubadili uamuzi wake wa kuondoka katika timu hiyo mwisho wa msimu huu na badala yake anataka kubakia na kuendelea kuifundisha msimu ujao.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers