Kufunga? Tatizo ni washambuliaji wenyewe Ukiangalia chati ya wanaowania tuzo ya ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara hivi sasa, kati ya watano wanaoongoza, mshambuliaji wa kati ni mmoja tu ambaye ni Waziri Junior wa KMC.