Nyoso, Bocco hapatoshi Kaitaba

Muktasari:

  • Wachezaji hao wamekuwa na ushindani mkubwa kila wanapokatana

Kagera. Kwa Mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso anakutana uso kwa uso na straika wa Simba, John Bocco.

Nyosso alifungiwa kucheza soka kwa miaka miwili baada ya kumfanyia Bocco vitendo ambavyo havikuwa vya kiungwana wakati huo akiwa Azam.

Mara baada ya kumaliza kifungo chake, Nyosso alisajiliwa na Kagera Sugar na Leo anakutana na Bocco kwa Mara ya kwanza tena.

Kikosi cha Kagera na Simba leo ni

Kagera Sugar

GK-Juma Kaseja, Eladius Mfulebe, Adeyum Ahmed, Juma Nyoso, Mohamed Fakhi, George Kavila,Pastory Athanas, Ally Nassor, Jafary Kibaya, Ally Ramadhan, Atupele Green.

Akiba: Ramadhan Chalamanda, Seleman Mangoma, Peter Mwalyanzi, Juma Shemvuni, Edward Christopher, Paul Ngalyoma, Japhet Makalai.

Simba: Aishi Manula, Nicolas Gyan, Asante Kwasi, Juuko Murshid,  Erasto Nyoni , Jonas Mkude,  James Kotei, Said Ndemla, John Bocco, Shiza Kichuya, Emmanuel okwi

Wachezaji wa Akiba

Kipa Emanuel Mseja,  Mohammed Hussein, Muzamir Yassin, Yusufu Mlipili, Shomari Kapombe, Laudit Mavugo na Mwinyi Kazimoto