Hizi hapa sababu za Palmer kuuzwa Chelsea MANCHESTER, ENGLAND. PEP Guardiola amefichua sababu za Manchester City kuchukua uamuzi wa kumpiga bei Cole Palmer kwenda Chelsea mwaka 2023. Staa huyo mwenye umri wa miaka 21 aliamua kuachana...