Simba, Al Ahly mwendo wa noti tu SIMBA inashuka uwanjani leo usiku kuvaana na Al Ahly katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa Mkapa, kabla ya kesho watani wao, Yanga kuikaribisha Mamelodi Sundowns, huku mechi zote...