Mvua yazitibulia Yanga, JKT, mechi yaahirishwa YANGA SC ilikuwa na hesabu zake leo iende Jenerali Isamuhyo kucheza na wenyeji wao JKT Tanzania ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya kutetea ubingwa wao, lakini mvua kubwa iliyonyesha Dar es...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers