Jumamosi yaibeba Yanga Kariakoo Dabi MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii ya Aprili 20...