Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Wachezaji wampa tuzo Ibrahim Bacca BEKI wa Yanga, Ibarahim Abdullah 'Bacca' amepigiwa kura na baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu, kuona anastahili kunyakua tuzo ya beki bora kwa msimu huu wa 2023/24. Mwanaspoti limezungumza na...