Wasanii wa hizi nyimbo, mnadaiwa video 'CHUPA nyingine' una ukumbuka? Ni mmoja ya nyimbo za msanii wa Hip Hop, Mchizi Moxi uliokaa takriban miaka 20 ndio ukaja ukafanyiwa video. Sio huo tu, unaukumbuka wimbo wa Mandojo na Domo Kaya...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
PRIME Ishu ya Manji kurejea Yanga ipo hivi Manji alikuwa Uwanja wa Mkapa Jumamosi iliyopita akiishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba na kukaribia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kufikisha...