Simba yatinga fainali Kombe la Muungano SIMBA imetinga fainali ya Kombe la Muungano baada ya leo kuichapa KVZ mabao 2-0 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers