PRIME Manji ana mchezaji mmoja Yanga MFADHILI na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amesema kwake staa mkubwa ni mmoja tu kwa sasa. Stephane Aziz Ki. Manji ambaye amewahi kuiongoza timu hiyo kwa mafanikio makubwa amesema...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers